Maporomoko ya Tope Itezi Mbeya
"Nimeungana na Dkt.Tulia Ackson Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya mkoa wa Mbeya kwa kutoa msaada wa chakula kwa ndugu zetu waliokumbwa na mafuriko ya tope Kata ya Itezi jijini Mbeya nami kama Mdau wa Maendeleo mkoa wa Mbeya na Rungwe niliguswa na marafiki zangu toka wilayani Rungwe na Mbeya mjini waliungana nami kuniwakilisha kutoa msaada huo niwashukuru kwa niaba yangu ingawa sikufanikiwa kufika" Eliurd Mwaiteleke